Announcements

Posted On: May 12, 2020


NOTICE TO THE MANUFACTURER, SELLERS AND DISTRIBUTORS OF BANS AND BREADS

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lenye dhamana ya kuwezesha biashara na kumlinda mlaji/mtumiaji, limebaini uwepo wa mwenendo usiofaa wa usafirishaji na usambazaji wa mikate na maandazi unaofanywa na baadhi ya waendesha pikipiki au baiskeli ambapo bidhaa hizo hufungwa na kuning’inizwa moja kwa moja kwenye pikipiki au baiskeli pasipo kuwekwa kwenye makasha maalum ya kubebea.

Kwa maelezo zaidi tafadhali bonyeza linki ifuatayo:

mikate maandazi tangazomikate maandazi tangazo