Announcements
Posted On: May 12, 2020
NOTICE TO THE MANUFACTURERS AND IMPORTERS OF SANITIZERS
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lenye dhamana yakusimamia ubora wa bidhaa mbalimbali kwa lengo lakumlinda mlaji na kuwezesha biashara, hivi karibuniShirika limekuwa likipataongezekola maombi ya kuthibitisha ubora wa bidhaa ya sanitizer, kutokana na kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa Corona.
Kwa maelezo zaidi tafadhali bonyeza linki ifuatayo: