Announcements

Posted On: May 31, 2021


SEMINA KWA WASINDIKAJI, WASAMBAZAJI NA WAUZAJI WA VIUNGO MKOA WA DAR ES SALAAM

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwatangazia wajasiriamali wote wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaojihusisha na viungo kutakuwa na semina kwa ajili yao. Kwa taarifa zaidi fungua kiambatanisho kifuatacho:

tangazo la semina ya anatouglo