Announcements

Posted On: Apr 03, 2025


UFAFANUZI KUHUSU USALAMA WA KINYWAJI CHA JUISI YA EMBE YA AZAM

Hivi karibuni, kumekuwepo na usambazaji wa taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu ubora na usalama wa bidhaa ya kinywaji cha juisi ya embe ya Azam. Taarifa hii imekuwa ikisambazwa kwa vipindi tofauti katika hali ya kujirudia na imekuwa ikizua taharuki kwa umma.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

ufafanuzi kuhusu usalama wa kinywaji cha juisi ya embe ya azam