SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA(TBS)
e-Services
Baada ya hati kutolewa, je mteja anaweza kukaa nayo kwa muda gani
<p><span style="font-size:12pt"><span style="font-family:Calibri,sans-serif">Muda halali wa hati ni mwaka mmoja tu, kila mwisho wa mwaka, mteja anatakiwa kuomba kuongezewa muda kuhakikisha kuwa kila mteja aliyesajiliwa ananafasi katika ngazi ya kisheria kukaguliwa mara moja kwa mwaka, endapo kwa bahati mteja hakukaguliwa baina vya vipindi hivyo.</span></span></p> <p>&nbsp;</p>


Settings