Je, TBS inawasaidiaje MSMEs
Je, TBS inawasaidiaje MSMEs
<p><span style="font-size:12pt"><span style="font-family:Calibri,sans-serif">Wajasiriamali wanaoanza, wadogo wadogo na wa Kati, hasa wanaokuzwa na Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo (SIDO) au wanaotambuliwa na Serikali wanapata huduma za uthibitisho bure. MSMEs hao hawatakiwi kulipa ada yoyote ya uthibitisho wa bidhaa zao. TBS pia inawafundisha MSMEs katika mikoa mbalimbali kuhusu uzalishaji bora na salama..</span></span></p>
<p> </p>