SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA(TBS)
e-Services
Je, mtu akihitaji uthibitisho wa TBS afuate Taratibu gani
<p><span style="font-size:12pt"><span style="font-family:Calibri,sans-serif">Mchakato wa uthibitisho unaanza na maombi ya mzalishaji kwa Mkurugenzi Mkuu. Baada ya maombi kupokewa na Mkurugenzi Mkuu, mzalishaji anajibiwa na kuelezwa taratibu zote muhimu za kufuata kwa ajili ya uthibitisho. Mara nyingi au kama kawaida mzalishaji anatakiwa apate viwango utoka TBS kabla ya kuanza mchakato wote. Ni lazima ifahamike kuwa uthibitisho hufanywa dhidi ya kiwango mahususi; kwa hiyo ni lazima kupata kiwango kwanza.</span></span></p> <p>&nbsp;</p>


Settings