SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA(TBS)
e-Services
Je utambuzi rasmi ni nini
<p><span style="font-size:12pt"><span style="font-family:Calibri,sans-serif">Utambuzi rassmi ni tathmini ya utimizaji viwango ya taasisi zinazotoa huduma za tathmini ya utimizaji viwango. Ni mchakato unataka kuona uthibitisho wa ustadi, mamlaka au uaminifu. Maabara mbalimbali za TBS zimetambuliwa rasmi na SADCAS dhidi ya ISO/ IEC 17025, Masharti ya jumla kwa ajili ya ustadi wa maabara na alama za vipimo.</span></span></p> <p>&nbsp;</p>


Settings