SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA(TBS)
e-Services
Je uthibitisho ni nini
<p><span style="font-size:12pt"><span style="font-family:Calibri,sans-serif">Uthibitisho ni uhakikisho unaofanywa na mtu mwingine kuwa bidhaa, huduma, mtu au mfumo wa usimamizi unatimiza masharti yaliyoelezwa. Kwa kumpa mununuzi Imani kwamba bidhaa au huduma inatimiza masharti, uthibitisho huwezesha biashara ndani ya nchi na baina ya nchi. Shirika la Viwango Tanzania linaedesha Mipango mine ya uthibitisho ambayo ni: Mpango wa uthibitisho wa alama ya TBS, Mpango wa Uthibitisho wa bechi kwa bidhaa zinazoingizwa nchini, Mpango wa uthibitisho wa bidhaa zilizopimwa, na mpango wa usajili wa mifumo ya usimamizi.</span></span></p> <p>&nbsp;</p>


Settings