SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA(TBS)
e-Services
Je, nitanunuaje na wapi viwango vya Tanzania
<p><span style="font-size:12pt"><span style="font-family:Calibri,sans-serif">Viwango vyote vya Tanzania vinaweza kununuliwa kutoka kwenye maktaba ya TBS au mtandaoni kwa kutumia TBS web store katika tovuti ya TBS kwenye Menyu ya Huduma Mtandao. Mkusanyiko wote wa viwango vilivyochapishwa unaweza kutafutwa kwenye tovuti ya TBS katika katalogi ya viwango vya TBS kwenye menyu ya Menyu ya uwekaji viwango vinavyokubaliwa (Standardization). Unaweza kutafuta jina, namba ya kiwango, bidhaa, au uainishaji wa kimataifa wa namba ya kiwango. </span></span></p> <p>&nbsp;</p>


Settings