Kwa nini si bidhaa zote zina alama za Viwango
Kwa nini si bidhaa zote zina alama za Viwango
<p><span style="font-size:12pt"><span style="font-family:Calibri,sans-serif">Alama za viwango ni kwa bidhaa zinazotengenezwa nchini. Kwa bidhaa zinazoagizwa nje ya nchi, TBS inatoa hati kwa bidhaa zilizofanyiwa vipimo vya TBS. Mlaji yeyote mwenye shaka kuhusu ubora wa bidhaa hizo au hapana anaweza kuuliza kwenye ofisi za TBS au kupitia namba ya Simu ya bure 0800110827. Mlaji pia anahimizwa kutafuta alama za ubora za nchi zinakotoka bidhaa hizo.</span></span></p>
<p> </p>