Announcements
Posted On: Mar 04, 2026
MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA VIWANGO VYA VINYWAJI BARIDI (SOFT DRINKS)
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya ngazi ya uelewa juu ya matakwa ya viwango vya vinywaji baridi (soft drinks). Mafunzo haya yatafanyika tarehe 15 hadi 16 Aprili, 2026 katika Ofisi za TBS Makao Makuu Ubungo – Dar es Salaam, kuanzia saa 3.00 asubuhi.
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;