Announcements

Posted On: Mar 23, 2025


MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA VIWANGO VYA MABATI YA KUEZEKEA

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya ngazi ya uelewa juu ya matakwa ya viwango vya mabati tarehe 15 hadi 16 Aprili, 2025 katika Ofisi za TBS Makao Makuu Ubungo – Dar es Salaam, kuanzia saa 3.00 asubuhi.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

mafunzo ya ngazi ya uelewa kwa viwango vya mabati