Announcements
Posted On: Nov 28, 2025
MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA VIWANGO VYA VILAINISHI VYA MITAMBO NA MAGARI (LUBRICANTS AND OILS PRODUCTS)
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya ngazi ya uelewa juu ya matakwa ya viwango vya vilainishi vya mitambo na magari. Mafunzo haya yatafanyika tarehe 28 hadi 29 January 2026 katika ukumbi wa TBS, Makao Makuu Ubungo Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;