Maabara ya Themometria
Maabara ya Themometria ina sehemu tatu zifuatazo:-
1. Halijoto na Unyevu
2.Muda na Masafa
3.Umeme
1.Halijoto na Unyevu
Maabara ya Halijoto na Unyevu hutoa unasabishaji wa vipimo na ugezi wa vifaa na zana zinazohusiana na halijoto na unyevu na hutambuliwa na SADCAS kwa kuwa na uwezo ufuatao:
KIFAA | HUDUDI | ALAMA ZA VIPIMO | KIPIMO |
Vipimo vya Pt100/RTD | (50-200 °C | 0,2 °C | |
Vipimo Thermocouple | (-30-200) °C | 0,5 °C | |
Mkuo Kavu | (0-200) °C | 0,5 °C | |
Njia ya maji | (0-200) °C | 0,5 °C | |
Auclave | (0-121) °C | 1,6 °C | |
Majokofu/ Mafriza (Mafriji) | (-30to 200) °C | 0,5 °C | |
Maoveni/Majokofu matanuri yaliyofunikwa | (-30to 200) °C | 0,5 °C | |
Vitamizi | (-30to 200)°C | 0,5 °C | |
Mabomba/ sahani za moto | (0-200) °C | 0,5 °C | |
Geji za skeli ya Halijoto | (-30to 200) °C | 0,1 °C | |
Vyumba vya baridi | (-30 to 200) °C | 0,5 °C | |
Mafriza yenye mabamba | (-30 to 200) °C | 0,5 °C | |
Blast Freezers | (-30 to 200) °C | 0,5 °C | |
Vyumba vya baridi/mzizimo | (-30 to 200) °C | 0,5 °C | |
Vidhiti halijhoto | (-30 to 200) °C | 0,5 °C |
2. Muda na Masafa
Maabara ya muda na masafa hutoa unasabishaji wa vipimo na ugezi wa vifaa na zana zinazohusiana vyenye uwezo ufuatao:
KIFAA | HUDUDI | ALAMA ZA VIPIMO | VIPIMO |
Saa ya michezo, vipimo mud ana stomacher | 1s to 2400 s 2400 s - 48 h 0 to 5000 RPM 5000 to 10000 RPM | ±0,05 s ±0,6 s ±0,1 RPM ±0,5 RPM | |
Takometa, rafadha, kikorogeo | 10000 to 50000 RPM | ±4 RPM | |
Vortex, kichanganyi na Los Angeles | 50000 to 100000 RPM | ±5 RPM |
3.Umeme
Maabara ya umeme hutoa unasabishaji wa vipimo na ugezi wa vifaa na zana kama vile multimeter, mita za kubana, mega, voltimita, mita za ampea, volteji na vyanzo vya mkondo wa umeme (AC na DC) vyenye uwezo ufuatao:
HUDUDI ZA PARAMETA ZA UPIMAJI UMEME
- Mkondo mfululizo (DC)
- Mkondo geu (AC)
- Volteji ya mkondo mfululizo (DC)
- Volteji ya mkondo geu (AC)
- Ukinzani