Ugezi
Shirika la viwango Tanzania (TBS) limepewa wajibu wa kisheria wa kutunza na kuendesha viwango vya vipimo vya taifa kuhusiana na parameta zote halisi(physical parameters),kulingana na kiwango sahihi kinachokubalika kimataifa na kusambaza viwango vya vipimo vya SI Units kwa kutoa ufuatiliaji kwa umma kwa kutumia viwango vya vipimo vya taifa.
Maabara ya Metrolojia ya TBS hufanya upimaji wa viwango vya alama za vifaa vya usahihi vya kiwango cha juu katika nyanja za vipimo kama vile urefu,tungamo,halitojo,muda wa dafaa,ujazo,kani eneo,vipimo vya umeme kwenye volteji ya DC/AC, mkondo wa umeme wa ukinzani.
Umuhimu wa huduma za calibration ni pamoja na matokeo ya vipimo thabiti,vya kutumainiwa na sahihi. Huduma hii inatolewa kwa wadau mbalimbalielimu,vyombo ang,ujenzi,utengenezaji,afya,uvuvi,utalii,uchimbaji madini,tasnia za mafuta na gesina maabaraya utafiti na upimaji
Mteja anashauriwa kuzingatia taratibu zifuatazo wakati anapoomba huduma za alama za viwango (calibration)
equipment calibration procedure
Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma za alama za upimaji tafadhali bofya kuingo kifuatacho: