Uoanishwaji wa Viwango

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ni mwanachama wa taasisi mbalimbali za viwango za kikanda na za kimataifa zikiwemo;

TBS inaratibu ushiriki wa Tanzania kwenye shughuli za uainishaji viwango katika ngazi hizo ili kuhakikisha kuwa maslahi ya Tanzania yanazingatiwa wakati wa maendele.Utaratibu unapatikana kupitia kamati kama vile kamati ya TBS/SPS, EAC, ISO, ARSO National Mirror Committees, NationalCo dex, National Codex Committee, National Electrotechnical

Ushirirki wa wadau wa Tanzania katika mchakato huu unajadiliwa kwenye kamati za ufundi za taifa ambao wanaweza kuteua wawakilishi, wadau wanaoonesha shauku au kuititkia wito wa TBS kushiriki kuteua wawakilishi wao kupitia kamati za ufundi. Kamati hukubaliana kuhusu misimamo ya taifa kwenye ajenda ya masuala ya kikianda na kimataifa kabla wawakilishi kushiriki.