Maabara ya Tungamo na Vipimo Vinavyohusiana
Maabara ya Tungamo na Vipimo Vinavyohusiana ina maeneo yafuatayo:
1.Tungamo
2.Ujazo
3.Kani na Toki
4. Mgandamizo
1.Tungamo
Maabara hii hutoa unasabishaji na ugezi wa vipimo na vifaa vinavyohusiana na Tungamo na kutambuliwa na SADCAS kwa kuwa na uwezo ufuatao.
| | |
| | |
| | |
| | |
| | |
| | |
| | |
| | |
| | |
| | |
| | |
2. Ujazo
Maabara hii hutoa unasabishaji na ugezi wa vipimo na vifaa vinavyohusiana na ujazo na kutambuliwa na SADCAS kwa kuwa na uwezo ufuatao:
PARAMETA | HUDUDI | ALAMA ZA VIPIMO | KIPIMO |
Mirija ya pistoni | 5 µl to 100 µl 101 µl to 250 µl 251 µl to 500 µl 501 µl to 1000 µl 1001 µl to 3000 µl 3001 µl to 5000 µl 5001 µl to 10000 µl | 1,0 µl 2,0 µl 4,0 µl 8,0 µl 20 µl 40 µl 60 µl | |
Vyombo vya kioo | 1ml-5ml | 0,05 ml | |
Bika, Sirinji, Mirija, bureti, | 5 ml-50 ml 50 ml-250 ml | 0,10 ml 0,2 0 ml | |
Flaski, Pyenometer, Silinda ya Kupimia | 250 ml-1000 ml 1000 ml-2000 ml | 0,50 ml 2,0 ml | |
Vipimo vya kugonga metali | 1000 ml-2000 ml | 2,0 ml | |
Vipimo vingine vya metali | 2000 ml-5000 ml | 4,0 ml |
3. Kani na Toki
Maabara hii hutoa unasabishaji na ugezi wa vipimo na vifaa vinavyohusiana na kani na toki kama ifuatavyo:
| | | |
| UCS 5 kN-50 kN
| | |
| | | |
| | | |
4. Mgandamizo
Maabara hii hutoa unasabishaji na ugezi wa vipimo na vifaa vinavyohusiana na mgandamizo na kutambuliwa na SADCAS kwa kuwa na uwezo ufuatao:
PARAMETA |
| | |
Geji za Kanieneo | 0 to 4 bar 0 to 40 bar 40 to 100 bar
| ±0,01 bar | |
| 401 to 1000 bar
| | |
| | | |
| | | |
| | | |
| | | |