Announcements

Posted On: Dec 05, 2025


MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA VIWANGO VYA VINYWAJI VYENYE VILEVI (ALCOHOLIC BEVERAGE DRINKS)

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya ngazi ya uelewa juu ya matakwa ya viwango vya vinywaji vyenye vilevi (Alcoholic Beverage Drinks). Mafunzo haya yatafanyika tarehe 12 hadi 13 Februari, 2026 katika Manispaa ya Jiji la Arusha.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

tangazo la mafunzo uelewa alcoholic drinks arusha