Announcements

Posted On: Feb 07, 2024


MKUTANO KATI YA TBS PAMOJA NA WAZALISHAJI, WAINGIZAJI NA WASAMBAZAJI WA SIAGI YA KARANGA, UNGA WA MAHINDI NA UNGA MCHANGANYIKO (UNGA WA LISHE)

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mkutano na Wazalishaji, Waingizaji na Wasambazaji wa Siagi ya Karanga, Unga wa Mahindi na Unga Mchanganyiko (Unga wa Lishe) hapa nchini kwa lengo la kukuza ukidhi wa matakwa ya Viwango vya bidhaa hizo.

Kwa maelezo zaidi fungua link ifuatayo:

tangazo (2)