Announcements

Posted On: Apr 19, 2023


TAARIFA YA UFUATILIAJI WA BIDHAA YA “JOHNSON’S BABY POWDER''

Hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu bidhaa ya Johnson’s Baby Powder inayozalishwa kwa kutumia kiambato cha talc na kampuni ya Johnson & Johnson ya nchini Marekani yenye toleo (batch) namba 22318RB iliyodaiwa kuwa na uchafuzi wa madini ya asbestos yanayosababisha saratani, ambapo toleo hilo lilizalishwa na kusambazwa nchini Marekani pekee.

Kwa taarifa zaidi bonyeza kiambatanisho kifuatacho:

taarifa kwa umma powder