SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA(TBS)
e-Services
KIKAO CHA WADAU KATI YA TBS NA WATOA HUDUMA ZA UGEZI (CALIBRATORS)
10 Nov, 2026
KIKAO CHA WADAU KATI YA TBS NA WATOA HUDUMA ZA UGEZI (CALIBRATORS)
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwataarifu watoa huduma za ugezi (Calibrators) na wadau wote wanaotumia vifaa vya vipimo au kutoa huduma ya ugezi kuwa kutakuwa na kikao kwa ajili ya kuwatambua na kujadili utaratibu wa leseni ya utoaji huduma hiyo ili kuhakikisha vipimo vinavyotumika vina usahihi na vya kuaminika.    


Settings