Announcements

Posted On: May 05, 2026


KUHAMA KWA OFISI ZA TBS DODOMA

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuutaarifu umma kuwa ofisi yake ya DODOMA iliyopo katika Jengo la Kambarage Tower inahamia katika eneo la Njedengwa, Jengo la Viwango House Dodoma karibu na Jengo la Bodi ya Kahawa kuanzia tarehe 05/05/2026. Huduma zote za TBS zitaendelea kutolewa katika ofisi hizi mpya.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

tangazo kuhama ofisi za dodoma compressed