Announcements

Posted On: Oct 13, 2024


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MATUMIZI YA KEMIKALI KATIKA UIVISHAJI WA NDIZI

Hivi karibuni, kumekuwepo na taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayoelezea matumizi ya kemikali kwa ajili ya kuivisha ndizi katika Jiji la Dar es Salaam na kutilia mashaka usalama wa afya ya mlaji wa bidhaa husika. taarifa kwa umma kuhusu uivishwaji wa ndizi