Announcements

Posted On: Mar 18, 2024


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU USALAMA WA CHAKULA CHA MSAADA KUTOKA MAREKANI ULIOTOLEWA KWA BAADHI YA SHULE ZA MKOA WA DODOMA

Hivi karibuni, kumekuwepo na taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na msaada wa chakula (mchele ulioongezwa virutubishi, mafuta ya kupikia ya alizeti yaliyoongezwa virutubishi na maharage), ambao ulitolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) katika baadhi ya shule za mkoa wa Dodoma chini ya mpango uitwao “Pamoja Tuwalishe”.

msaada chakula latest