Announcements

Posted On: Jan 31, 2025


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU USAMBAZAJI WA TAARIFA KUHUSU UBORA NA USALAMA WA BIDHAA

TBS inapenda kuutaarifu umma kuwa, endapo mtu yeyote atatumiwa taarifa zisizothibitishwa kuhusu ubora na usalama wa bidhaa basi awasiliane moja kwa moja naTBS kwa kupiga simu bila malipo kupitia namba 0800110827 au barua pepe kwenda malalamiko@tbs.go.tz kwa maulizo au taarifa zaidi.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

usambazaji wa taarifa kuhusu ubora na usalama wa bidhaa