Announcements
Posted On: Aug 28, 2025
MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA VIWANGO VYA VINYWAJI BARIDI (SOFT DRINKS)
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya ngazi ya uelewa juu ya matakwa ya viwango vya vinywaji baridi (soft drinks) yatakayofanyika tarehe 17 hadi 18 Septemba, 2025 katika Ofisi za TBS Makao Makuu Ubungo – Dar es Salaam, kuanzia saa 3.00 asubuhi.
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;