Announcements

Posted On: Jul 18, 2022


MKUTANO KATI YA TBS PAMOJA NA WAINGIZAJI NA WATENGENEZAJI WA BIDHAA ZA MABATI NA NONDO

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ni Shirika la umma chini ya Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara lenye dhamana ya kuandaa viwango na kusimamia ubora wa bidhaa hapa nchini kwa mujibu wa Sheria ya Viwango Sura 130. Katika kutekeleza jukumu hilo, Shirika huandaa viwango ili kuhakikisha bidhaa zinazozalishwa nchini na zinazotoka nje ya nchi zinakidhi matakwa ya viwango husika ili kulinda afya, usalama na mazingira.

Kwa taarifa zaidi bonyeza link ifuatayo:

tangazo wadau wa mabati