Announcements

Posted On: Apr 12, 2023


USAMBAZAJI WA TAARIFA KUHUSU UBORA NA USALAMA WA BIDHAA

Hivi karibuni, kumekuwepo na usambazaji wa taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu ubora na usalama wa bidhaa za aina mbalimbali. Taarifa hizo zimekuwa zikizua taharuki kwa umma. Kwa taarifa zaidi tafadhali fungua link ifuatayo:

taarifa kwa umma