Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt. Ashura Katunzi, ametwaa Tuzo ya Malkia wa Nguvu 2026 katika kipengele cha Ufunguo wa Maisha,
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt. Ashura Katunzi, ametwaa Tuzo ya Malkia wa Nguvu 2026 katika kipengele cha Ufunguo wa Maisha,
14 Nov, 2026
The super dom masaki
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt. Ashura Katunzi, ametwaa Tuzo ya Malkia wa Nguvu 2026 katika kipengele cha Ufunguo wa Maisha, iliyotolewa na Clouds Media Group katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Tuzo hiyo ni utambuzi wa mchango wake katika kuleta mabadiliko chanya, kuimarisha ubora na usalama wa bidhaa, pamoja na kulinda afya na maisha ya Watanzania.