News
30-01-2025

Check expiry to avoid health risks
Events
-
ARSO General Assembly
16-06-2025Golden Tulip Zanzibar Airport Hotel -
World Metrology Day
13-05-2025Morogoro Hotel - Morogoro -
East Africa Clean Cooking Symposium
06-05-2025Mount Meru Hotel
Announcements
-
29-06-2025
The Tanzania Bureau of Standards (TBS) has organised a meeting with importers and clearing and forwarding agents in t...
-
20-06-2025
The Ministry of industry and Trade through Tanzania Bureau of Standards in collaboration...
-
17-06-2025
Tanzania ikiwakilishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Taasisi ya Viwango Zanzib...
Announcements
Posted On: Jun 04, 2021
MAFUNZO KUHUSU SUMUKUVU KWENYE MAHINDI NA NAFAKA NYINGINE KWA WASAFIRISHAJI NA MAWAKALA WA FORODHA
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwafahamisha wafanyabiashara ambao ni wasafirishaji na mawakala wa forodha katika mipaka ya Horohoro, Holili na Namanga kuwa limeandaa mafunzo kuhusu sumukuvu kwenye mahindi na nafaka nyingine. Kwa maelezo zaidi fungua kiambatanisho kifuatacho: