Announcements
Posted On: May 10, 2026
UFAFANUZI KUHUSU WATUMISHI WA MKATABA KUTOTENDEWA HAKI
Shirika la Viwango Tanzania linapenda kutoa ufafanuzi kwa umma juu ya upotoshaji uliochapishwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu watumishi wanaodaiwa kutokutendewa haki.
Watumishi hao waliajiriwa na TBS mwezi Aprili, 2021 kwa mikataba ambayo ilikuwa ikihuishwa kila baada ya kipindi cha miezi mitatu kwa mujibu wa masharti ya mkataba waliosaini na mnamo tarehe 30 Septemba, TBS ilisitisha mikataba yao ya ajira kwa mujibu wa mikataba yao na taratibu zingine za kiutumishi.
Kwa taarifa zaidi: