Announcements
Posted On: Apr 25, 2021
TAARIFA KWA WAAGIZAJI MAGARI KUTOKA NJE KUHUSU UWEPO WA MATAPELI
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lina utaarifu umma kuwa limepokea malalamiko ya uwepo wa baadhi ya mawakala wasio waaminifu wanao wadanganya wateja wenye magari yaliyowasili bandarini kulipa gharama za ziada ili kuweza kutoa magari hayo.
Tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho kusoma tangazo lote:
shirika la viwango tanzania tangazo last