Maabara ya hiii inajishughulisha na vifaa vinavyotumika katika kupima Urefu, Upana, Kina, Unene na Pembe. Maabara hii ina uwezo wa kupima vifaa vituatavyo, futikamba, dip tape, rula, Geji ya skeli, Feeler Gauge, Seti ya Gauge Blocks, Penetromita, Geji ya Go-nogo, Protractors, Filters, Inklinomita ma Mraba wa mwashi