Maabara hii ina uwezo wa kupima vifaa vifuatavyo Mita za kupima uwiano kati ya ujazo na uzito wa vimiminika (density meter and hydrometer) Mita za kupima kiwango cha pombe kwenye vimiminika (alcohol meter), Mita za kupima kiwango cha sukari kwenye vimiminika (refractomer), Mita za kusoma unyevunyevu kwenye mazao (moisture meter), mita ya PH na mita ya upitishi.