SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA(TBS)
e-Services

Mass and Volume Metrology Laboratory

Maabara hii hutoa huduma za unasabishaji na kutoa ushauri wa kitaalamu kwenye maeneo ya Tungamo, Ujazo, Mgandamizo, Kani na Toki. Maabara hii pia inajihusisha na ugezi wa vifaa mbali mbali kama mizani ya aina zote, mawe ya kupima (mass piece) Flaski, Sirinji za sindano, Bureti, Silinda; Barometa, monita ya shinikizo la damu, Geji za mgandamizo aina zote, Mitambo ya Kushindilia zege, Toki renchi na vifaa vya kupima geji mbalilimbali.



Settings