Announcements

Posted On: May 07, 2020


INTERNSHIP INTERVIEW RESULTS

Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za Mafunzo kwa vitendo kazini (Laboratory Assistant Internship) waliofanya usaili tarehe 14-04-2020 kuwa matokeo yapo tayari.

Kwa maelezo zaidi tafadhali bonyeza linki ifuatayo;

matokeo ya usaili wa tarehe 14 april 2020