Announcements
Posted On: Oct 13, 2025
MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA VIWANGO VYA NONDO (STEEL BARS)
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya ngazi ya uelewa juu ya matakwa ya viwango vya nondo (Steel bars). Mafunzo haya yatafanyika tarehe 26 hadi 27 Novemba, 2025 katika Ofisi za TBS Makao Makuu Ubungo-Dar es salaam kuanzia saa 3.00 asubuhi.
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;
mafunzo ya ngazi ya uelewa kwa viwango vya nondo (steel bars)