Announcements

Posted On: Apr 12, 2022


TAARIFA KUHUSU MKUTANO KATI YA TBS NA WAZALISHAJI WA MATOFALI

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ndilo Shirika lenye dhamana ya kuandaa viwango na kusimamia ubora wa bidhaa hapa nchini kupitia Sheria ya Viwango Na. 2 ya mwaka 2009. Katika kutekeleza jukumu hilo, Shirika limekuwa likiandaa viwango katika bidhaa mbalimbali zinazozalishwa hapa nchini na zile zinazotoka nje ya nchi lengo likiwa ni kuhakikisha bidhaa zote zinazoingizwa sokoni hapa nchini zinakidhi matakwa ya viwango ili kulinda afya, usalama na mazingira. Kwa taarifa zaidi bonyeza link ifuatayo:

wazalishaji wa matofali