Announcements

Posted On: Dec 15, 2021


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MATAPELI WANAOCHUKUA BIDHAA ZA WAFANYABIASHARA

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawataarifu wafanyabiashara kuwa hivi karibuni kumekuwa na kundi la watu ambao ni matapeli wanaojitambulisha kuwa ni wafanyakazi/wakaguzi wa TBS na kukagua maduka yanayouza bidhaa za chakula na vipodozi. Matapeli hao hukamata, huchukua bidhaa na kuwaagiza wafanyabiashara kufuata bidhaa hizo TBS kwa maelezo na hatua zingine za kisheria. Kwa maelezo zaidi fungua link ifuatayo:

kuhusu matapeli wanaochukua bidhaa za wafanyabiashara