Announcements
Posted On: Nov 14, 2023
TAARIFA KWA WAFANYABIASHARA WA BIDHAA ZA CHAKULA NA VIPODOZI
Kwa mujibu wa Sheria ya Viwango, Sura 130 na kanuni zake Shirika la Viwango Tanzania (TBS) pamoja na majukumu mengine limepewa jukumu la kusimamia usalama na ubora wa bidhaa za chakula na vipodozi kwa lengo la kulinda afya ya jamii. Katika kutekeleza jukumu hili, Shirika hutoa huduma ya usajili wa maeneo ya biashara yanayohusika na chakula, vipodozi, majengo ya kuuzia, kuandalia au kusambazia bidhaa hizo.
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;