Announcements
Posted On: May 31, 2026
TANGAZO KWA MAWAKALA WA FORODHA NA WAAGIZAJI WA BIDHAA NCHINI KUHUSU TARATIBU ZA KUZINGATIA WAKATI WA KUOMBA KIBALI CHA TBS KUPITIA MFUMO WA TANeSW
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawakumbusha waagizaji wa bidhaa wanaoomba kibali cha TBS bandarini na mipakani taratibu sahihi wakati wanapoomba huduma ili kuzuia usumbufu unaoweza kutokea wakati wa kuomba kibali.
Kwa maelezzo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho;
taratibu za kuzingatia wakati wa kuomba kibali cha tbs kupitia mfumo wa tanesw