Announcements
Posted On: May 08, 2026
TANGAZO KWA MAWAKALA WA FORODHA NA WAAGIZAJI WA BIDHAA NCHINI KUUNGANISHWA KWA MIFUMO YA OAS NA NTANCIS
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuutaarifu umma kuwa, tumekamilisha zoezi la uunganishwaji wa mifumo yetu ya kiforodha kati ya OAS-TBS na NTANCIS-TRA ili kuboresha na kuongeza ufanisi katika utoaji huduma kwa wananchi.
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;
tangazo kwa umma matumizi ya mfumo wa tanesw