Video Albums
Mafunzo kwa Maafisa upimaji kuhusu sayansi ya vipimo (Metrolojia)
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mjini, Bw. Mosses Machali akifungua mafunzo kwa maafisa kutoka maabara za ubora na uchunguzi kuhusu sayansi ya vipimo yaliyofanyika katika ukumbi wa Bukoba Manispaa mkoani Kagera.
Posted On: Sep 19, 2022
Hakikisha vipodozi unavyotumia vimesajiliwa na TBS
Kwa maelezo zaidi kufahamu vipodozi vilivyozuiwa kwa matumizi tafadhali tembelea tovuti yetu www.tbs.go.tz au tupigie bure 0800110827
Posted On: Sep 19, 2022
Sajili jengo lako la biashara za bidhaa za chakula na vipodozi na TBS
Sajili jengo lako la biashara za bidhaa za chakula na vipodozi na TBS
Posted On: Sep 19, 2022
Umuhimu wa usajili wa bidhaa na majengo ya chakula na vipodozi
Kaimu Meneja wa Usajili wa Bidhaa na Mjengo Bi. Gwantwa Mwakipesile akielezea umuhimu wa usajili wa bidhaa na majengo ya chakula na vipodozi
Posted On: Aug 26, 2022
Mdau kutoka PUMA ENERGY , Bw. Prosper Kasenegala akitoa maoni wakati Mkutano.
Meneja wa Vilainishi kutoka Kampuni ya PUMA ENERGY , Bw. Prosper Kasenegala akitoa maoni wakati Mkutano kati ya TBS na Wadau wa Bidhaa za Vilainishi vya Magari.
Posted On: Aug 11, 2022
Afisa Viwango (TBS), Bw. Alexander Mashallah akitoa maelezo ya kiwango husika wakati wa Mkutano kati ya TBS na wadau wa Bidhaa za Vilainishi vya Magari
Afisa Viwango (TBS), Bw. Alexander Mashallah akitoa maelezo ya kiwango husika wakati wa Mkutano
Posted On: Aug 11, 2022