Announcements
Posted On: Jun 04, 2021
MAFUNZO KUHUSU SUMUKUVU KWENYE MAHINDI NA NAFAKA NYINGINE KWA WASAFIRISHAJI NA MAWAKALA WA FORODHA
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwafahamisha wafanyabiashara ambao ni wasafirishaji na mawakala wa forodha katika mipaka ya Horohoro, Holili na Namanga kuwa limeandaa mafunzo kuhusu sumukuvu kwenye mahindi na nafaka nyingine. Kwa maelezo zaidi fungua kiambatanisho kifuatacho: