Announcements
Posted On: Sep 22, 2025
MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA VIWANGO VYA VINYWAJI VYENYE VILEVI (ALCOHOLIC DRINKS)
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya ngazi ya uelewa juu ya matakwa ya viwango vya vinywaji vyenye vilevi (Alcoholic Drinks). Mafunzo haya yatafanyika katika maeneo yafuatayo: -
1. 22 hadi 23 Oktoba, 2025 Kilimanjaro
2. 30 hadi 31 Oktoba, 2025 Mwanza
3. 20 hadi 21 Novemba, 2025 Kagera
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;
mafunzo ya ngazi ya uelewa kwa viwango vya vinywaji vyenye vilevi (alcoholic drinks)