Announcements

Posted On: Apr 23, 2025


MWALIKO WA KUSHIRIKI MAONESHO YA DUNIA EXPO 2025, OSAKA JAPAN

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwataarifu kuwa kutakuwa na maonesho ya Dunia Expo 2025 yatakayofanyika Osaka Japan kuanzia tarehe 12 Aprili 2025.Maonesho haya ambayo yanaambatana na Kongamano la Biashara, Uwekezaji na Utalii yanaratibiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania nchini Japan.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

mwaliko wa kushiriki maonesho ya dunia expo 2025, osaka japan..