Announcements

Posted On: May 12, 2020


NOTICE TO THE PUBLIC ON THE USE OF ONLINE SERVICES TO CURB SPREAD OF COVID 19

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawatangazia wadau wote kuwa kuanzia Jumatatu ya tarehe 2020-03-23 kwa wateja wasio na ulazima wa kufika katika ofisi za TBS kuanza kutumia mawasiliano ya simu na mitandao kupata huduma za Shirika. Utaratibu huu utatumika katika kipindi hiki, ikiwa ni tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi ya ugonjwa wa Corona (Covid-19) ambao umeingia nchini.

Kwa maelezo zaidi tafadhali bonyeza linki ifuatayo:

huduma kwa mtandao