Announcements

Posted On: Feb 10, 2022


TAARIFA KUHUSU MKUTANO KATI YA TBS NA MAWAKALA NA WASAFIRISHAJI WA BIDHAA NJE YA NCHI

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ndilo lenye dhamana ya kusimamia ubora wa bidhaa hapa nchini kupitia Sheria Na. 2 ya Viwango ya mwaka 2009. Katika kutekeleza jukumu hilo kwa wadau wote, Shirika limekuwa likitoa huduma ya Msaada wa Kitaalamu kwa Wasafirishaji wa Bidhaa Nje ya Nchi (Technical Assistance to Exporters) ambao huwapa taarifa muhimu na ushauri wa kitaalamu wasafirishaji wa bidhaa nje ya nchi kuhusu masoko na matakwa ya viwango kwa masoko husika nje ya nchi.

Kwa Taarifa zaidi fungua link ifuatayo:

press release tae