Announcements

Posted On: Jan 28, 2022


TAARIFA KWA MAWAKALA NA WAAGIZAJI WA BIDHAA ZA CHAKULA NA VIPODOZI KUTOKA NJE YA NCHI

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwakumbusha mawakala na waagizaji wa bidhaa za chakula na vipodozi kutoka nje ya nchi kuhakikisha wanasajili bidhaa za chakula na vipodozi kabla ya kuziingiza nchini......Kwa taarifa zaidi fungua link ifuatayo:

tangazo chakula na vipodozi